KINGAZI BLOG: 09/13/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday 13 September 2016

MPYA:TAARIFA KWA UMMA KUTOKA NACTE KUHUSU MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA CHETI NA DIPLOMA VYUO VYA AFYA,KILIMO,MIFUGO,UALIMU NK 2016/2017


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA PILI KATIKA KOZI ZA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017




Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linapenda kuwaarifu wote walioomba kudahiliwa katika kozi mbali mbali za cheti na diploma na Umma kwa ujumla kuwa uhakiki wa uteuzi wa awamu ya pili kwa waombaji wa cheti na diploma umekamilika na kwamba uteuzi huu sasa unaonekana kwenye kurasa binafsi (profile) za waombaji. Hii ina maana kuwa waliochaguliwa sasa wanaweza kuona mahali walipochaguliwa kupitia kurasa zao binafsi.

Hata hivyo, Baraza linaomba radhi kwa kuwa uhakiki wa uteuzi kwa baadhi ya vyuo haujakamilika hivyo Baraza litashindwa kuwaonyesha waombaji wa vyuo hivyo uteuzi wao. Vyuo hivyo ni pamoja na vyuo vya kilimo na uvuvi na baadhi ya vyuo vikuu.
Baraza pia linapenda kuwaarifu waombaji waliofanya maombi kwenye vyuo vya Ualimu vya Serikali kuwa uteuzi kwenye vyuo hivyo bado unasubiri mwongozo wa Serikali na hivyo watafahamishwa mara Baraza litakapopata mwongozo kutoka Wizara yenye dhamana ya Elimu juu ya uchaguzi huo.

Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
NACTE

Tarehe: 10 Septemba, 2016

MPYA:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VIKUU MBALIMBALI 2016/2017

Image result for tcu tanzania

TAYARI BODI YA VYO VIKUU IMETANGAZA MAJINA YA WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU ILI KUONA JINA LAKO HEBU BOFYA HIZI LINK HAPA HAPA  CHINI

>>>>BOFYA HAPA KUONA JINA LAKO NA CHUO ULICHOCHAGULIWA<<<



BOFYA HAPA PIA KAMA HUJALIONA JINA LAKO HAPO JUU
 

Gallery

Popular Posts

About Us