KINGAZI BLOG: 09/27/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday 27 September 2016

PANYA ROAD WAIBUKA UPYA NA KUTESA WANANCHI WA JIJI LA DAR ES SALAAM

KUNDI la uhalifu la watoto wenye umri kuanzia miaka 18 hadi 25 maarufu kama panya road linatishia usalama wa wananchi na mali zao maeneo ya Moshi Baa na vitongoji vingine katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.
Kufuatia kukithiri kwa vitendo hivyo katika kipindi kisichopungua wiki mbili tayari watoto watatu walikuwa wakidaiwa kuhusika na kundi hilo wameuawa na wananchi wenye hasira kali.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii Dar es Salaa jana mkazi wa eneo la Moshi Baa Relini aliyejitambulisha kwa jina la Mwarami Abubakar alisema hali sio shwari katika eneo kufuatia matukio ya kila siku ya kuvamiwa wananchi kujeruhiwa na kuporwa mali zao na kundi hilo.
"Tayari vijana wawili wiki iliyopita wamechomwa moto na wananchi wenye hasira huku mwingine akipigwa juzi hadi kutolewa utumbo na kufariki papo hapo," alisema Abubakar.
Mkazi mwingine wa eneo la Kwa Mkolemba Khamisi Fadhil alisema kundi hilo limekuwa likifanya vitendo hivyo mchana kweupe na wanatembea kuanzia vijana nane hadi 10 wakiwa na silaha za jadi kama nondo, visu na mapanga na mtu yeyote wanayekutana naye ni lazima wampige na kumpora.
Wenye maduka wanalazimika kufunga kuanzia saa moja jioni kuhofia kundi hilo ambalo huvunja milango ya nyumba na kufanya uporaji" alisema Fadhil.
Fadhil alisema maeneo ambayo vijana hao wameshamiri ni Moshi Baa Relini, Kwa Mkolemba, Diwani na Bomba mbili.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Kamishna Msaidizi (ACP), Salum Hamdan alisema polisi imejipanga vilivyokukabiliana na vitendo hivyo katika mkoa wake.
"Kwanza napenda kukuambia kwamba hakuna kundi linalojiita panya road wote tunawahesabu ni wahalifu kama walivyo wahalifu wengine na hivi ninavyongea na wewe tupo katika siku ya sita ya operesheni ya kukakamta watu wanaojihusisha na uhalifu wa ujambazi wakiwemo wanaouza pombe haramu ya gongo," alisema Kamanda Hamdan.

Aliongeza kuwa katika mkoa wake hivi karibuni utakuwa shwari baada ya askari wake kusambaratisha watu hao wanaofanya vitendo hivyo.

Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com-simu namba 0712-727062

Ndege Ya Pili Ya Bombardier Q-400 Yawasili Jijini Dar Es Salaam Leo, Rais Magufuli Kuzizindua Ndege Kesho

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuzindua ndege mbili mpya aina ya Bombardier Q 400 zilizonunuliwa na Serikali hivi karibuni.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho amesema maandalizi yote kwa ajili ya uzinduzi wa ndege hizo yamekamilika na uzinduzi huo utafanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Kesho kuanzia saa mbili asubuhi.

“Tunawaomba wanahabari na wananchi kujitokeza kwa wingi katika uzinduzi huo ili waone utekelezaji wa ahadi wa Serikali katika mkakati wa kuhuisha usafiri wa Anga hapa nchini”, amesema Dkt. Chamuriho.

Ndege hizo aina ya Bombardier Q 400 zenye uwezo wa kubeba abiria 76 kila moja  zimetengenezwa nchini Canada na zitahudumia soko la ndani ndani na nchi za jirani zitakapoanza kazi.Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Katibu Mkuu Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamriho akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi pamoja na maafisa wengine wakiwa katika Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.

Katibu Mkuu Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamriho na viongozi wengine wakielekea kwenye Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba

CREDIT MUUNGWANA BLOG

BOFYA HAPA DOWNLOAD HAPA JOINING INSTRUCTIONS ZA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA VYUO VYA UALIMU CHETI NA DIPLOMA 2016/2017


 Image result for serikali ya tanzania
 
 
Files:
pdf.png VIKINDU TC NEW






(0 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
644.23 KB
15
pdf.png SUMBAWANGA TC NEW






(0 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
506.79 KB
4
pdf.png SINGACHINI TC NEW






(0 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
81.02 KB
2
pdf.png PATANDI TC NEW






(0 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
736.93 KB
4
pdf.png NACHINGWEA TC NEW






(0 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
1.5 MB
10
pdf.png MTWARA (U) TC NEW HOT






(2 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
5.88 MB
205
pdf.png MTWARA (K) TC NEW HOT






(2 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
567.01 KB
139
pdf.png MANDAKA TC NEW






(0 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
5.13 MB
15
pdf.png KITANGALI TC NEW






(0 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
1008.19 KB
0
pdf.png KATOKE TC NEW






(0 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-09-26
67.76 KB
11
pdf.png MPUGUSO TC HOT






(1 vote)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
557.33 KB
220
pdf.png MOROGORO TC HOT






(8 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
1.22 MB
1,039
pdf.png MONDULI TC HOT






(5 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
300.24 KB
661
pdf.png MHONDA TC HOT






(1 vote)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
119.08 KB
185
pdf.png MARANGU TC HOT






(2 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
515.51 KB
347
pdf.png MAMIRE TC HOT






(18 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
1.76 MB
721
pdf.png KOROGWE TC HOT






(15 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
779.84 KB
1,619
pdf.png KLERUU TC HOT






(5 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
269.39 KB
447
pdf.png KINAMPANDA TC HOT






(1 vote)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
338.97 KB
252
pdf.png KABANGA TC HOT






(1 vote)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
139.37 KB
266
pdf.png ILONGA TC HOT






(3 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
1.47 MB
459
pdf.png DAKAWA TC HOT






(4 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
158.46 KB
329
pdf.png BUTIMBA TC HOT






(21 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
210.87 KB
982
pdf.png BUSTANI TC HOT






(4 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
194.88 KB
307
pdf.png BUNDA TC HOT






(9 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
829.38 KB
613
pdf.png KASULU TC HOT






(9 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-28
292.75 KB
565
pdf.png TUKUYU TC HOT






(12 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
1.37 MB
792
pdf.png TARIME TC HOT






(5 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
216.12 KB
213
pdf.png TANDALA TC HOT






(2 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
669.72 KB
243
pdf.png TABORA TC HOT






(7 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
4.23 MB
842
pdf.png SONGEA TC HOT






(13 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
2 MB
809
pdf.png SHINYANGA TC HOT






(1 vote)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
402.85 KB
246
pdf.png NDALA TC HOT






(4 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
5.03 MB
299
pdf.png MURUTUNGURU TC HOT






(3 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
2.44 MB
219
pdf.png MPWAPWA TC HOT






(18 votes)
Select 


Created
Size
Downloads
2016-08-27
2.18 MB
1,221
 

Gallery

Popular Posts

About Us