KINGAZI BLOG: 10/31/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday 31 October 2016

PICHA ++ RAIS MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA KWENYE ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI KENYA.





tza-ke-rais-magufuli-nchini-ke
tza-ke-rais-magufuli-nchini-ke-3jpg
magu-na-ruto magu-na-ruto1 magu-na-ruto2


HAYA HAPA MAJINA MAPYA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO CHUO KIKUU SUA 2016/2017

Image result for sua university
KUYAONA MAJINA YOTE 


Breaking News: Bondia Thomas Mashali Auwawa,

Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo October 31 2016 maeneo ya Kimara DSM, Taarifa zinadai kuwa alishambuliwa na wananchi baada ya madai ya kuitiwa mwizi kwa kushambuliwa na wananchi kwa madai ya kuitiwa mwizi.
Promota Siraji Kaike amesema watu aliokuwa anagombana nao walimwitia mwizi na wakapiga mapanga akawa ametupwa na bodaboda waliokuwa wanamjua Thoams Mashali walimuokota na kumpeleka hospitali ambapo baadaye zilitolewa taarifa kuwa amefariki.
Yassin Abdallah maarufu kama Ustaadhi, mmoja wa viongozi wakongwe wa mchezo wa ngumi amethibitisha na kusema mwili wa Mashali upo kwenye chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.
"Tumethibitishiwa hizo taarifa za majonzi kabisa, mwili upo Muhimbili na msiba upo kwao Tandale," alisema Ustaadhi.

Habari kuu Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya Octoba 31




V

 

Gallery

Popular Posts

About Us