KINGAZI BLOG: 11/01/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday 1 November 2016

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA KATIKA TUKIO LA MOTO, BANDARINI JIJINI DAR LEO

Moto ukiendelea kuwaka katika Makontena yaliandaliwa na kujazwa matairi kwa lengo la kufanya mazoezi, ingawa mitaani tayari zilikwisha enea habari kuwa moto mkuwa umeteketeza makontena, Bandarini jijini Dar es salaam leo. 

Afisa mawasiliano mkuu wa Bandari, Peter Milanzi, akizungumza na waandishi wa habari waliofika katika eneo hilo ulipotokea moto ambapo alisema kuwa moto huo, ni sehemu ya mazoezi ya wafanyakazi wa Bandari ili kupima uwezo wa wafanyakazi wa Jeshi la kuzima moto na vifaa wanavyotumia wakati wa ajali za moto. 

Aidha Peter, aliwaondoa hofu wananchi kwa kusema kuwa Makontena hayo yaliandaliwa na kujazwa matairi na kuyachomwa moto kwa lengo la kufanya mazoezi, ingawa mitaani tayari zilikwisha enea habari kuwa moto mkuwa umeteketeza makontena. 







Baadhi ya majeruhi 










4TH ROUND SELECTED STUDENTS TO JOIN MOUNT MERU UNIVERSITY 2016/2017

Header_text
 4TH ROUND SELECTED STUDENTS TO JOIN MMU THROUGH TCU 

4TH ROUND STUDENTS SELECTED TO AJUCO-SAUT 2016/2017

KUONA MAJINA YOTE 


>>BONYEZA HAPA<<

MPYA: HAYA HAPA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA CHUO KIKUU CHA RUCU AWAMU YA TATU. 2016/17.

VIDEO: ‘Wanafunzi wanaohitaji mikopo sio wote watakaopata’ – Serikali


Naibu waziri wa Elimu, sayansi na teknolojia Eng. Stella Manyanya alilazimika kusimama bungeni Dodoma kujibu swali la Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto aliyetaka kujua kwanini hadi sasa kuna baadhi ya wanafunzi wa elimu ya juu hawajapewa mikopo, tazama hii video hapa chini

U

HABARI KUU KWENYE MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAR 01 NOVEMBA





 

Gallery

Popular Posts

About Us