MASTAA WALIVYOKARIBISHWA BUNGENI DODOMA LEO KABLA YA KUPIGA SHOW YA TIGO FIESTA LEO | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday 16 September 2016

MASTAA WALIVYOKARIBISHWA BUNGENI DODOMA LEO KABLA YA KUPIGA SHOW YA TIGO FIESTA LEO



September 16 2016 historia nyingine itaandikwa ndani ya viwanja vya makao makuu ya nchi Dodoma ambapo burudani ya FIESTA 2016 inatarajia kudondoshwa hapo kutoka kwa wasanii mbalimbali wa bongo.
Asubuhi ya leo baadhi ya wasanii na wafanyakazi wa Clouds media walipata nafasi ya kutembelea bunge ili kujionea utendaji kazi unavyofanyika na hapa nimekuzogezea picha 13 za mastaa hao kuanzia nje hadi ndani.

Baadhi ya wafanyakazi wa Clouds media na wasanii wakiwa nje ya bunge

Wasanii G Nako na Jux wakiwa nje ya bunge

Joh Makin

Mtangazaji wa XXL B 12 pamoja na wasanii wengine ndani ya bunge

Kutokea kushoto Chege, Snura, B 12

Kutoka kushoto Maua sama, Mr Blue, Adam Mchomvu




google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us