KINGAZI BLOG: 02/20/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday 20 February 2017

MAKOSA WANAYOYAFANYA WANAUME KILA SIKU WAKATI WA TENDO LA JIMAI (TENDO LA NDOA)

*# Moja:*

Mume kutofahamu sehemu zenye hisia kali kwa mke wake......
Inafahamika wanawake wote kwa ujumla kuna sehemu zao za hisia kali zaidi wakichezewa. Hata ivo athari ya hisia na mihemko hutokana ufahamu wa mume ktk sehem husika za mkeo na pia umaridadi wa mume anavo zishulikia sehem izo ..na kuna wengine husisimka zaidi wakishikwa sehemu fulani ukilanganisha na wengine nao sehemu zingine ndio husisimka zaidi.Hivyo ni juu yako mume kutambua na kujua sehemu zenye kumuamsha mkeo zaidi.wanasema raha ya kumpatia mwenza wako jua udhaifu wa hisia zake ziko wapi ili uziamshe.
*# Mbili:*✍🏾

Mume kutofahamu namna ya kuzichezea sehem izo zenye hisia kali..hapa nakusudia...Ifahamike baada ya kuzifaham sehemu za hisia kali kwa mkeo hapo  umaridadi wa hali ya juu unaitajika ili kuziamsha hisia zake mke na hatimae kuzitendea haki sehemu na kupata majibu chanya yenye kuashiria unampatia..Hivyo ni juu yako mume kuhakikisha unajua namna ya kuzichezea sehem izo za hisia.
*#Tatu:* ✍🏾

Mume kuharakisha kuingilia kutokana na pupa, haraka na kiu yake. Bila kutambua kuwa  mwanamke anaitaji mda wa kutosha wa kuchezewa ili awe tayari kuingiliwa na hatimae kufurahia tendo. Hivyo ni juu yako mume  kuepuka ilo kwa kuacha hara zako na badala yake tulie, jipange kutoa huduma kwa umahiri na ubunifu  wa hali ya juu.
*#Nne:*✍🏾 

Mume kuwahi kufika mshindo uku mke akiwa bado kabisa hajafanywa akatoshelezeka nae akafika kunako. Halii hii humfanya mke kukosa furaha ya tendo na kubaki njia panda huku raha ya tendo akiwa anaskia tu kama stori kwa wenzake wanao fikishwa kunako. Hivyo mume chunga ilo hakikisha mke anafika kwanza kabla yako...
*#Tano:*✍🏾

Mume kushindwa kutatua madhaifu yake fulani ambayo mara zote humfnaya asishiriki tendo kikamilifu.mfano tatizo la kuwahi kufika kabla ya mke, ukosefu wa mazoezi pia ukosefu wa mlo asilia wenye nishati nguvu ya kuuweka mwili fiti.Hivyo ni vema mume kutafuta njia stahiki ya kutatua tatizo fulani kama unalo. Kama huna basi jua namna ya kuwa maridadi kwa mkeo na namna ya kumtibu mkeo kitandani.

IMEANDALIWA KWA MSAADA WA MTANDAO
WHATSAPP GROUP : DARASA LA MAFUNZO.

Umeipata hii !!!Watoto Wenye Kinga zinazo fanana na Nyani Hawapati Ukimwi

Utafiti uliofanywa na wanasayansi wa chuo kikuu cha Oxford umeonyesha kuwa, asilimia 5 - 10 ya watoto wanaoambukikizwa VVU(HIV) wakati wa kuzaliwa huwa hawapati ugonjwa wa UKIMWI kutokana na aina ya kinga waliyonayo inayodhibiti virusi hivyo na kuzuia ugonjwa. 

Asilimia 50 ya watoto wenye HIV  hupoteza maisha kabla ya kufikisha miaka miwili, lakini watoto hawa wenye kinga madhubuti huishi maisha ya kawaida bila kudhania kuwa wana VVU.Habari hii ni kwa wa chuo kikuu cha Oxford, na ugunduzi huu ulichapishwa katika jarida la kitabibu la Science Transilational Medicine.

Huwa kuna idadi ndogo ya watu wazima ambao huambukizwa VVU lakini hawapati UKIMWI, na watafiti wamejaribu kufuatilia kwa miaka mingi ni kwa jinsi gani katika kujaribu kupata dawa. Lakini ugunduzi huu mpya umeonyesha kuwa, kingamwili za watoto hawa zinafanya kazi kwa jinsi tofauti ukilinganisha na watu wazima.Wataalam hao wanasema kuwa, ugunduzi huu unaleta tumaini jipya la kupatikana kwa tiba kwa wanaoishi na VVU.

Utafiti huo ulifanyika huko kusini mwa Sudan,na watafiti wamegundua ufanano wa ufanyaji kazi wa kinga za mwili za watoto hao na nyani wenye uambukizi wa SIV(virusi vinavyofanana na HIV). Nyani hao huwa hawapati ugonjwa japokuwa wanakuwa na idadi kubwa SIV katika miili yao.

Wanasayansi hao wanasema, utafiti zaidi unahitajika ili kuweza kufahamu kwa kinagaubaga ni kwa jinsi gani kinga ya watoto hao inavyoweza kupambana na VVU na kutoa mwanga zaidi wa jinsi ya kuweza kupambana na maradhi ya UKIMWI, na pengine kupata tiba ya uhakika.


 

Gallery

Popular Posts

About Us