MTOTO AZALIWA WAKATI MAMA YAKE AKIWA MAREHEMU BAADA YA KUPIGWA RISASI | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday 21 September 2016

MTOTO AZALIWA WAKATI MAMA YAKE AKIWA MAREHEMU BAADA YA KUPIGWA RISASI

Mwanamke mmoja mjamzito mkazi wa Chicago, Marekani, ameuwawa kwa kupigwa risasi na kufariki hapo hapo lakini mtoto aliyekuwa tumboni hakudhurika.Madaktari jana walimfanyia upasuaji na kufanikiwa kumtoa mtoto huyo wa kike salama na kumpa jina la ‘Miracle’ yaani Miujiza.
Watu wasiofahamika walimpiga risasi msichana huyo Parasha Beard,(19) juzi, usiku eneo la South Chicago akiwa na mpenzi wake.
Parasha alikuwa na ujauzito wa miezi sita wakati anapatwa na mauti hayo, lakini madaktari waliweza kumtoa salama mtoto huyo ambaye kwa sasa amewekwa kwenye kifaa cha kulea watoto njiti(Incubator)

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us