TCU YALEGEZA VIGEZO VYA KUJIUNGA NA ELIMU YA CHUO KIKUU KWA WALIOSOMA DIPLOMA KUTOKA ALAMA ZA GPA YA 3. 5 HADI GPA YA 3.0 SOMA ZAIDI HAPO CHINIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Thursday 15 September 2016

TCU YALEGEZA VIGEZO VYA KUJIUNGA NA ELIMU YA CHUO KIKUU KWA WALIOSOMA DIPLOMA KUTOKA ALAMA ZA GPA YA 3. 5 HADI GPA YA 3.0 SOMA ZAIDI HAPO CHINIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Taarifa kwa waombaji wote wa nafasi za chuo, bodi ya vyuo vikuu TCU  imetoa vigezo vipya vya alama zitakazomuwezesha mwombaji kujiunga na elimu ya chuo kikuu, awali  ilikuwa ni GPA  ya 3. 5 lakini imepungua hadi kufikia GPA ya 3. 0 ili kuwawezesha watu wengi zaidi kuapply na kupata nafasi ya kujiendeleza.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us