Kibonge Sexy: Mi na Chid Benz Tumebaki Marafiki Tu...Naposti Picha Nusu Utupu Kwa Ajili ya Biashara | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday 13 November 2016

Kibonge Sexy: Mi na Chid Benz Tumebaki Marafiki Tu...Naposti Picha Nusu Utupu Kwa Ajili ya Biashara


ALIYEKUWA demu wa staa wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’, Bhoke ‘Kibonge Sexy’ kwa mara ya kwanza amefungukia uhusiano wao kuwa kwa sasa hawako kimapenzi kama zamani.
Akichonga na Global TV Online leo, Bhoke ambaye pia ni mwanamitindo na video queen mnene kuliko wote Bongo alisema, ni muda mrefu tangu awe na Chid kimapenzi na kilichobaki kwa sasa ni urafiki tu.

“Umebaki urafiki wa karibu, wa kumjulia hali na kuzungumza naye tu lakini si wapenzi tena,” alisema Kibonge Sexy


Kibonge Sexy aliongeza tena, katika maisha yake hamuogopi mtu hivyo anavyoposti picha za nusu utupu anafanya biashara za nguo na hata kaka zake wawili wanajivunia na kutambua kitu gani anakifanya.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us