PICHA 14: Kutoka Vodacom Wasafi Festival Dec 25 mkoani Iringa | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday 26 December 2016

PICHA 14: Kutoka Vodacom Wasafi Festival Dec 25 mkoani Iringa


Ni Usiku wa Dec 25, 2016 ambapo wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja na msanii kutoka Nigeria Kcee waliiandika historia katika mkoa wa Iringa.

Show hiyo iliyopewa jina la Vodacom Wasafi Festival ilifanyika katika uwanja wa Samora Stadium, hizi ni baadhi ya picha kutoka mahali palipofanyika tamasha hilo.

.Queen Darleen

.

.Rayvanny

.

.Harmonize

.Pichani:(Kulia) Mkuu wa wilaya ya Iringa, Bw Richard

.Chege akitoa burudani ya nguvu

.Diamond Platnumz akitoa burudani ya nguvu

.

.

.

.

.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us