Breaking news: Hali yazidi kuwa tete kwa YUSUPH MANJI akiwa bado Muhimbili ,Ofisi zake zakaguliwa na polis wa uhamia na kukutwa na jambo hili. | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday 14 February 2017

Breaking news: Hali yazidi kuwa tete kwa YUSUPH MANJI akiwa bado Muhimbili ,Ofisi zake zakaguliwa na polis wa uhamia na kukutwa na jambo hili.

Image result for yusuph manji



Hali imezidi kuwa tete kwa mwenyekiti wa klabu ya Yanga YUSUPH MANJI baa da ya kuendelea kukumbwa na kadhia mbalimbali kipindi ikiwemo ya kutajwa katika orodha ya watuhumiwa wa dawa za kulevya hapa nchini.
 Hali ya afya yake ilibadilika ghafla juzi wakati akiendelea na mahojiano na polisi kuhusu tuhuma zinazomkabili hali iliyopelekea kukimbizwa na gari la wagonjwa mpaka Taasisi ya Moyo Ya JAKAYA KIKWETE ndani ya Hospitali ya muhimbili.
Huku akiendelea na matibabu, Askali wa uhamiaji walifika katika ofisi zake na kufanya ukaguzi  na upekuzi na kukuta PASSPORT za raia wa kigeni 126 ambazo zinaonekena ni wafanya kazi wake ambao amewaajili bila kibali cha kuishi bila kibali kutoka idara  uhamiaji ambavyo ni kinyume cha sheria.
ZAIDI BOFYA VIDEO  HAPA CHINI 



google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us