Baada ya kutoka selo wiki iliyopita Paul Makonda amualika T.I.D nyumbani kwake Masaki leo. | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday 11 February 2017

Baada ya kutoka selo wiki iliyopita Paul Makonda amualika T.I.D nyumbani kwake Masaki leo.

Ni siku 3 toka mwimbaji wa bongofleva T.I.D aachiwe kwa dhamana kwenye sakata la dawa za kulevya ambalo lilianzia kwenye orodha aliyoitaja mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.Leo February 11 2017 Mkuu huyo wa mkoa amemuita T.I.D nyumbani kwake Masaki na kufanya nae mazungumzo ikiwa ni siku mbili zimepita toka Makonda amsifie T.I.D kwa kukiri kuwa tayari kusaidiwa kuachana na dawa za kulevya.Baada ya kufanya mazungumzo na T.ID Paul Makonda alisema “Mungu wetu hajalala na siku zote anampenda amtafutae, karibu tena nyumbani T.I.D”

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us