Kauli ya Nape  Baada ya Rais Magufuli Kuruhusu Wimbo wa Nay wa Mitego!! | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday 27 March 2017

Kauli ya Nape  Baada ya Rais Magufuli Kuruhusu Wimbo wa Nay wa Mitego!!




ALIYEKUWA Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye kupitia ukurasa wake wa twitter amechapisha ujumbe wenye kutaka itumike busara na siyo nguvu katika kufanya maamuzi.

Aidha ujumbe huo ulikwenda sambamba na picha ya msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.

Nape ameonyesha kuguswa baada ya kukamatwa kwa mwanamuziki huyo na alipoachiwa huru amepongeza uamuzi uliofanyika na kusisitiza mara zote busara inastahili kutumika.




google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us