Paul Makonda Hafai Kuwa Kiongozi- Eric Shigongo | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday 19 March 2017

Paul Makonda Hafai Kuwa Kiongozi- Eric Shigongo


Kupitia ukrasa wake wa Facebook @ericshigongo ameandika hivi- Wiki Chache zilizopita nilimsifia Paul Makonda hapa, lakini kwa anachodaiwa kukifanya Clouds usiku, nafuta sifa nilizompa! Hafai kuwa kiongozi. Kwa Mahali tulipo kama taifa hatuhitaji kiongozi wa aina hii hata kidogo.

Nampenda sana Rais John Pombe Magufuli, sipo tayari kuona rais wangu anatukanishwa na iasi hiki na matendo yanayofanywa na Mkuu wa Mkoa.

NITAMPINGA MAKONDA KILA ANAPOFANYA YASIYOSTAHILI NA NITAMTETEA RAIS WANGU ANAPOTUKANISHWA!

E.J Shigongo




google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us