PICHA: Ajali ya Mabasi iliyotokea Mlima Kitonga Leo Machi 5 | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday 6 March 2017

PICHA: Ajali ya Mabasi iliyotokea Mlima Kitonga Leo Machi 5



IRINGA: Basi la Abood lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam limeligonga kwa nyuma basi la Happy Nation lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es Salaam kwenye milima ya Kitonga ambapo basi hilo liligonga lori la mizigo aina ya Fuso.

Katika tukio hilo mabasi hayo mawili yalitumbukia kwenye korongo lakini taarifa ya kifo au majeruhi bado hazijapatikana.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us