Post ya kwanza ya Soudy Brown baada ya Tukio la Uvamizi wa Makonda Clouds. | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday 28 March 2017

Post ya kwanza ya Soudy Brown baada ya Tukio la Uvamizi wa Makonda Clouds.


MTANGAZAJI na mwanachama wa Shirika la Wambeya Duniani ‘Shilawadu’, Soudy Brown leo ameweka picha ya kwanza mtandaoni baada ya kutoka likizo iliyosababishwa na sekeseke la kuvamiwa kwa kituo chao cha kurushia matangazo, Clouds Televisheni na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.

Jamaa huyo ameweka picha ya aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa na Utamaduni, Nape Nnauye na haijafahamika ni kwanini ameweka picha hiyo.




google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us