Kimenuka!!! RAIS Magufuli Awajibu Wabunge Wanaolalamika Kutekwa na Wanaotaka Mikutano ya Kisiasa | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday 12 April 2017

Kimenuka!!! RAIS Magufuli Awajibu Wabunge Wanaolalamika Kutekwa na Wanaotaka Mikutano ya Kisiasa

#NUKUU:"Wanasiasa tuiache serikali ya CCM ifanye kazi yake, mambo mengine tukutane mwaka 2020,Tutangulize Tanzania kwanza, siasa baadaye, watanzania wanataka maendeleo, hakuna Mtanzania anayekula siasa”Rais Magufuli.

"Ukiwa dereva wa lori, hutakiwa kusikiliza watu uliowapakia wanaimba nini au wanatazama wapi, wewe endesha lori uwafikishe salama. Dereva mzuri huwa hasikilizi watu aliowapakia wanasema nini, au haangalii kule wanapoangalia wao. Hili lori la maendeleo litafika.


Tunajua tunapokwenda, asitokee mtu anayetaka kubadilisha ajenda yetu tuanze kuzungumzia mambo ambayo hayapo kwenye ilani ya chama." - Rais Magufuli #UjenziWaReliYaKisasa

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us