NOMA SANA!!RC PAUL Makonda Aandika Ujumbe Huu Wenye Fumbo Ndani yake | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday 10 April 2017

NOMA SANA!!RC PAUL Makonda Aandika Ujumbe Huu Wenye Fumbo Ndani yake

RC wa Dar Ameandika ujumbe wa mafumbo kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haijaeleweka na Nani analegwa hapo..Embu jisomee na wewe labda unaweza tegua mtego

By @paulmakonda 
"Hakuna kitu kibaya kama kudanganywa na mtu huku ukijua anakudanganya na wakati huo huo anaekudanganya hajui kama unajua anakudanganya. Basi kazi yako inakuwa nikucheka kimoyomoyo" 
.
TOA MAONI YAKO HAPA

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us