BREAKING NEWZZZ : Prof. Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara mjini na wengine kadhaa watemwa | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday 29 August 2016

BREAKING NEWZZZ : Prof. Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara mjini na wengine kadhaa watemwa

Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na wafuasi wake 10 WATIMULIWA RASMI UANACHAMA WA CHAMA CHA WANANCHI (CUF). Wengine wapewa onyo kali.
HAYO NI MAAMUZ YA BARAZA KUU LILILOKETI LEO HUKO ZANZBAR.
KWA TAARIFA ZAIDI FUATILIA PRESS CONFERENCE YA CHAMA KESHO SAA 5 ASUBUH ITAKAYOSOMWA NA MHE. MAZRUI
Wabunge Magreth Sakaya na Mbunge wa Mtwara mjini nao wanadaiwa kuvuliwa uanachama

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us