Mourinho avurugana na staa wake mwengine ndani ya united, wakati mvurugano wake na schwaeinsteiger haujakaa sawa | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday 9 September 2016

Mourinho avurugana na staa wake mwengine ndani ya united, wakati mvurugano wake na schwaeinsteiger haujakaa sawa

Wakati mvutano kati ya Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho na kiungo wake, Bastian Schweinsteiger ukiwa haujakaa sawa, kocha huyo inadaiwa ametibuana na beki wake kikosini hapo, Matteo Darmian.

Beki huyo raia wa Italia ambaye ana umri wa miaka 26 amekuwa hana nafasi aktika kikosi cha kwanza cha timu yake hiyo, ambapo amekuwa akimtumia zaidi Antonio Valencia katika nafasi yake ya beki wa kulia.

Kutokana na hali hiyo inadaiwa kuwa kuna uwezekano mkubwa Darmian akarejea Italia kujiunga na Juventus.

Darmian ameshacheza mechi 39 kikosini hapo lakini msimu huu Antonio Valencia ameiteka nafasi yake.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us