Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi wa Mkinga Baada ya Kumtishia Askari Bastola | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday 19 October 2016

Rais Magufuli Amtumbua Mkurugenzi wa Mkinga Baada ya Kumtishia Askari Bastola

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga, Emmanuel Mkumbo. Uteuzi wa Mkurugenzi mpya atakayejaza nafasi hiyo utatangazwa hapo baadaye.

Mkurugenzi huyo aliyetumbuliwa kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumtishia bastola askari wa kike wa usalama wa barabarani (Traffic). Soma taarifa hii kutoka Ikul

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us