Nuh Mziwanda athibitisha wazi mkewe ni mjamzito | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday 2 December 2016

Nuh Mziwanda athibitisha wazi mkewe ni mjamzito

Msanii Nuh mziwanda amethibitisha kuwa yeye ni "Baba kijacho" baada ya kupost picha akiwa na mkewe huku tumbo la mkewe likionyesha wazi kwamba ni mjamzito,  katika post hiyo aliweka ujumbe kwamba anawapenda mashabiki zake na kuwapa "surprise " hiyo

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us