Umeipata Hii ya Toleo Jipya la Simu ya iPhone 8,Eti Itakuwa na Uwezo wa Kutambua Sura za Watu..!! | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday 20 January 2017

Umeipata Hii ya Toleo Jipya la Simu ya iPhone 8,Eti Itakuwa na Uwezo wa Kutambua Sura za Watu..!!

Toleo lijalo la simu za Apple, iPhone 8, itakuja na uwezo wa kutambua sura za watu.

“Other features appear to include some form of facial/gesture recognition supported by a new laser sensor and an infrared sensor mounted near the front-facing camera and, as expected, should also finally include wireless charging,” alisema, Timothy Arcuri toka kampuni ya utafiti ya Cowen and Company.

Simu hizo zinatarajiwa kuzinduliwa September mwaka huu na zinatarajiwa kushuka bei zake kwa asilimia 30 hadi 50.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us