Breaking News: Tundu Lissu Achaguliwa Kuwa Rais wa TLS Kwa Ushindi wa Asilimia 88 | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday 18 March 2017

Breaking News: Tundu Lissu Achaguliwa Kuwa Rais wa TLS Kwa Ushindi wa Asilimia 88


Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao.

Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama  wa TLS wamekutana kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali ya utendaji kazi wa chama hicho.

Matokeo ni kama ifuatavyo:

 

Urais: Kura zilizopigwa 1682

    Tundu Lissu 1411  sawa na asilimia 88    Francis Stolla 64    Victoria Mandari 176    Godwin Mwapongo 64

==>Kwa upande wa nafasi ya Makamu wa Rais (TLS) mshindi ni Godwin Ngwilimi aliyekuwa Mwanasheria wa Tanesco na kutimuliwa kwa kupinga Escrow.

Council Members

    Jeremiah Motebesya    Gida Lambaji    Hussein Mtembwa    Aisha Sinda    Steven Axweso    David Shilatu    Daniel Bushele


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us