Kimenuka!!!! NI VITA.......MANGE KIMAMBI na WOLPER waporomosheana matusi Makubwa mazito huko Insta kila upande ukijibu mashambulizi!!!! Ubuyu wotu Huu hapa | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday 21 April 2017

Kimenuka!!!! NI VITA.......MANGE KIMAMBI na WOLPER waporomosheana matusi Makubwa mazito huko Insta kila upande ukijibu mashambulizi!!!! Ubuyu wotu Huu hapa

Ni bifu zito na vita ya maneno na kurushiana maneno makali matusi ya nguoni, mambo yalianza pale Mange alipopost comment ya wolper kwenye account yake ikionyesha wolper akitoa povu kwa Ney wa Mitego akimchamba baada ya Nay wa mitego kusema walioandamana wote ni mataahira, kilichomponz a Mange ni Ile post yenye comment  mambo yakaanza hivi kama uonavyo hapa chini TUMEKUWEKEA UBUYU WOTE







ONA HAPA ALICHOJIBU WOLPER

"Mange Kimambi,Usinitafute sana kwasababu mm naishi nitakavyo sio utakavyo wala watakavyo,pili Ustar wangu nahisi hauna 

mvutano wowote na ww wala haudhuru familia yako!Unajua ww unaweza ukawa sawa kwa kile unachokifanya lakini pia unaweza ukawa sawa kutokana na mawazo yako yanavyokutuma,Mimi binafsi nina maamuzi yangu na sipelekeshwi na mtu kwasababu mm ni mtu mzima na nina fikiria kila kitu kabla ya mtu yoyote!Ninapoamua kupost au kusema chochote hayo ni maamuzi yangu chuki zako ww zisipelekee kufanya kila mtu achukie usiowapenda no no no sio mm JACKLINE WOLPER MASSAWE,Nafikiri tunapishana vitu vingi sn km hivyo mm sina akili ww unazo,Sasa ww dada nikuulize kitu ulitaka mm nifanyaje nije ulaya kukusapoti tumchukie Bashite au???maana sikuoni kwenye point yani mm kila kitu kwako naona chuki 😂😂my dear people are different siwezi kumuona mtu mbaya eti kisa ww Mange umemuona mbaya haaaaaa we ni nani?????Ulikuwa na mchango wowote kwenye zile sh@h@w@ zilizompa mama mimba yangu????Kama ww vibabu vyako vya kizungu huko vinakupa M2 basi usifosi tufanane!Kingine mbona unapanic sn kwenye maisha ya watu binafsi kuliko hao watu wenyewe?Sawa najua kuchamba ni ajira yako ya pili huku insta tukiachana na ile ya kutafuta vizungu huko!Lakini sasa naona unatafuta kiki kila mtu umuweke kwa Acc yako,hiyo inaonesha wazi BASHITE ameshakushinda sasa umeona unifate mm 😂😂😂my friend sijaanza kuwekwa kwenye Acc za watafuta followers kwako 😉😉Nimeanza siku nyingi kweeeeli kwahiyo ww nakuona km Repoter tu wa huku Insta so fanya kazi yako mama,Alafu Naywamitego ndo haina gani ya gari jipya hiyo,😳😳Mm nadeal na ww leo sipo kwa ajili ya mwingine... 😆😆😆Mbona unaforce kutaka kujua mambo yangu na huku hujui,Eti nimefumaniwa nifumaniwe na nani mm mjini hapa habari isitapakae wkt unasema nimefumaniwa huna hata EVIDENCE ya chupi...Embu kanywe hata TREVO zile dawa uongeze supu supu za miguu bibi weeeeh usiniletee u SKELETON 😂😂😂Hivi unajua ww una stress za watu sn kuliko zako binafsi,😜😜😜Bashite ananitia vidole wakati huo ww unakua mshika K!s!M! Au vuz!😂😂😂Unajua ww ustake kuniambukiza stress zako na chuki zako STAKI usiniforce tufanane na usinipakazie mambo ambayo yanahusisha chuki zako.."

Visit website


 






google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us