U-heard… !!!Alichosema Askofu Gwajima Leo Kanisani Kuhusu Kutekwa Kwake | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday 23 April 2017

U-heard… !!!Alichosema Askofu Gwajima Leo Kanisani Kuhusu Kutekwa Kwake

Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ingawa watanzania wana hofu ya kutekwa lakini yeye hawezi kutekwa bali anateka watu. 

 Alifafanua kauli yake hiyo akisema anateka fikra, mawazo, elimu za watu ili wamgeukie Mungu. 

 Ameyasema hayo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us