UMEIPATA HII??Mkuu wa Freemason Duniani Kutua Tanzania na Mafreemason zaidi 300 | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday 8 April 2017

UMEIPATA HII??Mkuu wa Freemason Duniani Kutua Tanzania na Mafreemason zaidi 300


Mazishi ya mkuu Sir Andy chande (88 years) aliyefariki huko Nairobi Kenya yanatarajiwa kufanyika Jumanne ijayo kwa mwili wake kuchomwa moto mpaka kuteketea wote (cremation.)

Wageni zaidi ya 300 kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Freemason mkuu watahudhuria mazishi yatayofanyika hapa Dar. Booking za guest watazofikia wageni mashughuli wa freemason zinaendelea kufanyika kwa kasi ya ajabu hapa jiji zina la dsm.

Kumbuka Sir Andy chande alikuwa kiongozi wa Freemason, mmiliki wa shule ya shaaban Robert, Ashawahi kuwa mkuu wa makumbusho ya Taifa (mkabala na IFM).

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us