Kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke aliye poteza hisia mahusiano | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday 2 November 2016

Kurejesha hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke aliye poteza hisia mahusiano

Tendo la ndoa ni tendo lenye ladha ya aina yake na furaha isiyo elezeka, lakini kuna watu ambao hufanya tendo kwa hali ya kulazimisha sababu yumo ndani ya ndoa.

mana huwa hasikii hisia wala tamaa ya tendo. ambapo huweza kusababisha ndoa kuwa chungu ana usalitiwaji wa ndoa.

SABABU

KIMWILI
1.) upungufu wa damu na madini ya chuma kutokana na kupata hedhi
2.) kutumia madawa ya kulevya
3.) magonjwa makubwa kama kisukari

KISAIKOLOJIA
a) kufanya kazi kwa muda mrefu
b) kukumbwa na wasiwasi na huzuni sana
c)kua na historia ya kubakwa au kuchukizwa na mapenzi

TIBA YAKE

KUNGU MANGA robo kilo.  KARANGA nusu.
KISHA CHANGANYA lakini kungu manga itabidi UTWANGE na karanga USITWANGE,
kisha tafuna pamoja  nusu saa au saa moja kabla ya kuanza kuingia katika jimai (TENDO LA NDOA).

utapata raha na hisia za ajabu na kufurahia tendo hilo. utadumu hivyo kwa siku 11 ukitumia tiba hii. na utapona inshaa Allah.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us