SERIKALI YAVIPA VYUO VIKUU SIKU 14 TU KUWASILISHA MATOKEO YA MTIHANI. | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday 2 November 2016

SERIKALI YAVIPA VYUO VIKUU SIKU 14 TU KUWASILISHA MATOKEO YA MTIHANI.

Serikali yavipa siku mbili vyuo vikuu 14 kuwasilisha matokeo ya mtihani

Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Maimuna Tarish imevitaka vyuo vikuu 14 ambavyo havijatuma matokeo ya wanafunzi wao ya mwaka uliopita kwa Bodi ya Mikopo kutuma mara moja ili kuwapatia mikopo kwa walio katika utaratibu wa kupata mkopo wa serikali.

Taarifa ambayo imetolewa na Tarish imevipa vyuo hivyo 14 siku mbili pekee kuhakikisha vinatuma majina kwa Bodi ya Mikopo na kuagiza viweke mfumo mzuri ambao utawawezesha kutuma matokeo kwa 


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us