Hii kali tena!!! SERIKALI KUHAMISHA WALIMU WA MASOMO YA SANAA SEKONDARI KUPELEKA SHULE ZA MSINGI | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday 1 April 2017

Hii kali tena!!! SERIKALI KUHAMISHA WALIMU WA MASOMO YA SANAA SEKONDARI KUPELEKA SHULE ZA MSINGI

Serikali imesema itawahamisha walimu wa ziada katika masomo ya sanaa kwenye shule za sekondari wapatao 7463 kwenda shule za msingi kupunguza upungufu wa kuboresha elimu hiyo ya msingi.

Aidha tayari jaribio la mpango huo wa kuamisha walimu hao umeanza katika mkoa wa Arusha na kufanikiwa ,Itahusisha mikoa yote nchini hasa kwenye mahitaji.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us