Wakubwa (18+)MAJANGA.....HAWA NDIO MASTAA WA MAREKANI WANAOONGOZA KWA KUTUPIA PICHA ZA NUSU UTUPU KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday 1 April 2017

Wakubwa (18+)MAJANGA.....HAWA NDIO MASTAA WA MAREKANI WANAOONGOZA KWA KUTUPIA PICHA ZA NUSU UTUPU KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM


Mastaa hawa huutumia mtandao wa Kijamii wa instagramu kuonyesha zaidi maungo yao na zisizo na maadili kuliko chochote, kuna wakati Mtandao huu ulifikia hatua ya kuwafungia akaunti zao lakini ndio kwanza wanazidi kufungua account mpya,
Tabia hii ya kutupia picha za nusu uchi  mtandaoni imekuwa ikishabikiwa sana na watu wengi kutoka pande zote za dunia hali inayopelekea kuweza kufahamika zaidi na kujizolea umaarufu mkubwa mtandaoni, 
Pia kuna wakati ilisemekana baadhi ya Mastaa hawa ni miongoni mwa wacheza filamu za ngono hivyo wanaweka picha hizo ili kuwa vutia wateja wa filamu hizo. Hebu ona baadhi ya picha hizo

0








google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us