PICHA ya Nusu Utupu ya ‘Ben Pol’ Yachafua Hali ya Hewa Mtandaoni..!!! | KINGAZI BLOG

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Friday 19 May 2017

PICHA ya Nusu Utupu ya ‘Ben Pol’ Yachafua Hali ya Hewa Mtandaoni..!!!


Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol amejikuta akizua minong’ono kwa mashabiki wake na watanzania kiujumla baada ya kuposti picha akiwa nusu utupu kwenye ukurasa wake wa Instagram .

Kwenye picha hiyo Ben Pol hakuweka maneno yoyote yale lakini alionekana amefungwa na kamba kama mtu aliyetekwa.

Picha hiyo iliyowekwa jana usiku mpaka sasa ina maelfu ya likes na Maoni kibao ya mashabiki wake wengi wakionekana kukerwa na kitendo hicho.

Pitia maoni ya wadau hapa chini



google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

    0 comments:

    POST A COMMENT

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us