KINGAZI BLOG: 12/18/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 18 December 2016

Erection Problems in Men: Causes and Treatments

What are Erection Problems? For many men, erection problems remain undiagnosed and untreated by medical  professionals due to the afflicted individual’s hesitating to report the problem.  This typically occurs as a result of perceived embarrassment or  shame in the mind of the man suffering from the erection disorder. Erection problems affect a surprising number of men each...

How to Lose Weight Fast: 3 Simple Steps, Based on Science

There are many ways to lose a lot of weight fast. However, most of them will make you hungry and unsatisfied. If you don’t have iron willpower, then hunger will cause you to give up on these plans quickly. The plan outlined here will: Reduce your appetite significantly. Make you lose weight quickly, without hunger. Improve your metabolic health at the same time. Here is a simple...

Rais Robert Mugabe kugombea tena Katika Uchaguzi Mkuu wa 2018

ZIMBABWE: Chama tawala ZANU-PF kimemtangaza Rais Robert Mugabe(92) kuwa mgombea wake katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2018 Mugabe mwenye umri wa miaka 92 sasa amekuwa kiongozi wa taifa hilo tangu nchi hiyo ipate uhuru mwaka 1980 kutoka kwa Wakoloni Waingereza. Mbali na ZANU-PF kumemtangaza Rais Robert Mugabe kuwania tena kiti hicho, kuna baadhi ya makundi yameibuka huku yakipinga...

TAARIFA ya Bodi ya Mikopo kwa wadaiwa sugu kuhusu mwisho wa kulipa kwa hiari

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imeongeza muda kwa wadaiwa sugu kulipa madeni yao hadi Desemba 30, 2016. Hatua ya Bodi inafuatia mwitikio chanya kutoka kwa wadaiwa ndani ya siku 30 za awali ambazo zinakamilika leo Desemba 14, 2016. Akitoa taarifa ya kuongezwa kwa muda; Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi, Abdul_Razaq Badru amesema kuwa wadau wameomba kuongezewa muda kutokana na baadhi yao kukabiliana...
 

Gallery

Popular Posts

About Us