KINGAZI BLOG: 02/18/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 18 February 2017

Hivi ndivyo Mbowe alivyowatoroka polisi huku wakiendelea kumsaka.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam, limemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujisalimisha Polisi mara moja kwa ajili ya Mahojiano yanayohusu vita vya dawa za kulevya baada ya juhudi za kumsaka katika makazi yake kushindikana huku simu yake ya mkononi ikiwa imezimwa  Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Simon...

Hali ya Afya ya Manji Yazidi Kudorora,Akimbizwa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete..!!

BAADA ya kupata dhamana ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu juzi, mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji, amelazwa tena kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyoko katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na Ofisa Uhusiano wa Taasisi hiyo jana, Anna Nkinda, Manji alifikishwa hospitalini hapo juzi jioni ikiwa ni muda mfupi baada ya kupata dhamana...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya February 18

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us