KINGAZI BLOG: 03/20/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday, 20 March 2017

Hii hapa Kauli ya aliyoitoa Magufuli leo hii kuhusu Paul Makonda...!!!

Rais John Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuendelea kuchapa kazi na kwamba yeye hafanyii kazi maneno ya kwenye mitandao kwasababu yeye ndiyo Rais wa nchi hii. Rais Magufuli amesema kuna baadhi ya watu wanaingilia majukumu yake wakati yeye ndiyo mwenye uamuzi na kwamba hapangiwi kazi ya kufanya kwa sababu anajiamini. Mkuu huyo wa nchi amewataka wakazi wa Dar es Salaam...

Makonda apata 'uchizi'......!!!!! Habari katika Magazeti ya leo jumatatu ya tarehe 20 March 2017.

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us