Sunday, 19 March 2017
Hii ni kali ya mwaka!!!Jamaa Afariki Dunia kwa Kuzidiwa Utamu wa Mapenzi
Picha 4: Kivuko Kipya chaanza Kazi Kigamboni Dar
kikielea majini baada ya kushushwa kwa mara ya kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi. Kivuko hicho kitakua kikitoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 kwa wakati mmoja.
Muonekano wa kivuko kipya cha MV KAZI mara baada ya kushushwa majini kwa mara ya kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi, kivuko hicho kitatoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22.
Kivuko cha MV KAZI kikisubiri kushushwa kwa mara ya kwanza majini kufanyiwa ukaguzi wa mwisho, kivuko hicho kitakua kikitoa huduma zake kati ya Magogoni na
Kivuko cha MV KAZI mara baada ya kushushwa majini kwa mara ya kwanza tayari kwa kufanyiwa ukaguzi wa mwisho kabla ya kuanza kazi, kivuko hicho kitatoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni na kitakua na uwezo wa kubeba abiria 800 na magari
Mkurugenzi wa kampuni ya MS Songoro Marine Boatyard ya jijini Mwanza Major Songoro mwenye kofia akiwa kwenye kivuko cha MV KAZI mara baada ya kukishusha majini kwa mara ya kwanza tayari kwa ukaguzi wa mwisho. Kivuko hicho chenye uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 kitakua kikitoa huduma zake kati ya Magogoni na Kigamboni.
Paul Makonda Hafai Kuwa Kiongozi- Eric Shigongo
Kupitia ukrasa wake wa Facebook @ericshigongo ameandika hivi- Wiki Chache zilizopita nilimsifia Paul Makonda hapa, lakini kwa anachodaiwa kukifanya Clouds usiku, nafuta sifa nilizompa! Hafai kuwa kiongozi. Kwa Mahali tulipo kama taifa hatuhitaji kiongozi wa aina hii hata kidogo.
Nampenda sana Rais John Pombe Magufuli, sipo tayari kuona rais wangu anatukanishwa na iasi hiki na matendo yanayofanywa na Mkuu wa Mkoa.
NITAMPINGA MAKONDA KILA ANAPOFANYA YASIYOSTAHILI NA NITAMTETEA RAIS WANGU ANAPOTUKANISHWA!
E.J Shigongo
Hii hapa Taarifa muhimu kwa Umma kutoka Clouds Media leo March 19 kuhusu yote yaliyotokea
Waziri Nape: Nakwenda Clouds Media kuona kilichotokea, Ni kuhusu Ishu ya RC Makonda
Waziri Nape: Nakwenda Clouds Media kuona kilichotokea, Ni kuhusu Ishu ya RC Makonda
Kufuatia kusambaa kwa video mitandaoni ikiaminika ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda akiingia Clouds Media akiwa na askari, Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye kupitia account yake ya twitter ameyaandika haya……
Makubwa!!!Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite hebu ona hapa 👇👇
Askofu Gwajima atoa cheti cha Daudi Albert Bashite (S0546/0016) na kusema kuwa alipata F masomo yote ya Sekondari hadi Bible Knowledge.
Matokeo hayo ni ya Kidato cha nne, Shule ya Sekondari Pamba.
Alama ni kawa ifuatavyo...
Civics - F
History - F
English - F
Geography - F
Biology - F
Kiswahili - F
Mathematics - F
Physics - F
Chemistry - F
Bible Knowledge - F
Source: JF
Diamond Platnumz kapata dili mpya kwenye kampuni hii
Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul (Diamond Platnum) amekuwa Balozi wa Bidhaa za GSM na kuwataka watanzania wanunue bidhaa hizo kuacha kutumia gharama kwa kufuata nje ya nchi.
Akizungumza leo na waandishi wa habari, Diamond amesema kuwa licha ya kuwa balozi katika bidhaa za GSM ameweza yeye kununua kutokana vitu mbalimbali katika maduka hayo.
Amesema kuwa GSM walikuwa na uwezo wa kutafuta wasanii wa nje ya nchi lakini wakaona kuna umuhimu wa kuwatumia wasaani wa ndania kama mabalozi katika bidhaa zao.
"Hivyo katika hilo na kuchangia maendeleo kwa wasanii wetu wa hapa nyumbani,wanaojituma na kuonesha mafanikio yao makubwa kwa kile wanachokifanya,sisi kama GSM tumeamua kutimia msanii Diamond Plutnum kuwa Balozi wa bidhaa zetu" alisema
Aidha amesema kuwa ubalozi huo utafanya kutangaza muziki wake kwa mashabiki wa ndani na wan je ya nch. Diamond amesema kuwa balozi hakuadhiri ubalozi mwingine kutokana kuwa kinachotangazwa ni bidhaa ambazo haziingiliani.
Uliipata hii??OBAMA ADAIWA KUM 'HACK' DONALD TRUMP NA MERKEL
Rais wa marekani Donald Trump amesisitiza msimamo wake kwamba alidukuliwa na utawala wa rais Obama ,akimwambia mgeni wake kansela wa Ujerumani Angela Merkel kwamba kuna ''kitu kinachowaleta pamoja''.
Vikosi vya ujasusi nchini Marekani chini ya utawala wa rais Obama vilidaiwa kuipeleleza simu ya Angel Merkel hatua iliozua hisia kali.
Lakini viongozi wa Republican pamoja na wale wa Democrat wanasema kuwa hawaamini kwamba rais Trump alipelelezwa.
Bwana Trump na Bi Merkel wamejadiliana kuhusu Nato na biashara.
Ziara yake ilikuwa imepangiwa kufanyika Jumanne iliopita lakini ikaahirishwa kutokana na dhoruba ya theluji.
Bwana Trump alitoa madai yake ya kudukuliwa katika mkutano wa pamoja na bi Merkel.
Pia aliulizwa kuhusu tamko lake la katibu wa ikulu Sean Spicer kwamba GCHQ ya Uingereza ilimpeleke wakati wa kampeni za uchaguzi.