KINGAZI BLOG: 03/18/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 18 March 2017

KIMENUKAA!!! Mwanamke adai amezalishwa na Askofu GWAJIMA na baadaye kutelekezwa bila msaada..!

Katika hali ya kushangaza leo katika kipindi kimoja cha redio Uhuru fm mwanamama mmoja kahojiwa na mtangazaji Anthony Joseph anadai kazalishwa na askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima JOSEPHAT GWAJIMA na baadaye katelekezwa. Katika mahojiano hayo kasema yafuatayo.. 👉Anasema yu tayari kupima DNA 👉Anasema mtoto ni mjanja mjanja kama Gwajima. BOFYA HAPA KUONA VIDEO 👉👉http://www.youtube.com/watch?v=CyE_kMv0gM4[/url] Credit:...

Jike Shupa Afunguka kuhusu Picha zake Kusagana Akidendeka na Mwanamke Mwenzako.

Video Queen ambaye alishiriki katika video ya Nuh Mziwanda 'Jike Shupa' na kujipatia jina la Jike Shupa amefunguka na kusema yeye si msagaji ila pombe ndiyo zilipelekea yeye kum kiss video quen Nai na kusema kitendo hicho kinamfanya ajisikie vibaya Jike Shupa aliyasema hayo jana kwenye kipindi cha Friday Night Live na kuwaomba msahama Watanzani wamsamehe kwa kitendo kile alichokifanya kwa mdada...

Breaking News: Tundu Lissu Achaguliwa Kuwa Rais wa TLS Kwa Ushindi wa Asilimia 88

Wajumbe wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), leo wamefanya uchaguzi wa kumchagua rais pamoja na wajumbe wa ngazi mbalimbali za uongozi wa chama chao. Uchaguzi huo umefanyika mjini Arusha ambako wanachama  wa TLS wamekutana kutekeleza ratiba hiyo pamoja na kupanga mipango mbalimbali ya utendaji kazi wa chama hicho. Matokeo ni kama ifuatavyo:   Urais: Kura zilizopigwa 1682    ...

News Alert: MKUU WA MKOA ANUSURIKA KUFA KWA KUGONGWA GARI AKIFANYA MAZOEZI ASUBUHI YA LEO

  Watu wawili wamenusurika kifo baada ya gari dogo aina ya taxi kuwagonga wananchi waliokuwa katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18,2017 mjini Iringa huku mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akinusurika. Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora. Ajali hiyo inadaiwa kusababishwa na uzembe wa...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya March 18

...

VIDEO: Barakah Da Prince – Acha Niende [ DOWNLOAD mp4]

BOFYA HAPA CHI KUONA VIDEO HII                                                                                  &nbs...

Alichokisema Mange kimambi baada ya kupata taarifa kwamba anatafutwa na polisi

Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system hii leo mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya system.Waraka huo ulioandikwa siri unaelekeza baadhi ya maofisa wa mikoani kutoa taarifa haraka iwezekanavyo kwa vyombo husika pindi atakapoonekana maeneo ya mipakani ili akamatwe na kujibu kesi zinazomkabili. ...

VIDEO MPYA: PROFESSOR JAY – KIBABE

Profesa Jay ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya ‘Kibabe’, iliyofanyika nchini na  kuongozwa na muongozaji anayefanya vizuri katika tasnia hiyo hivi sasa, Hanscana. Video inaonesha mazingira ya kuvutia ikiwa ni pamoja na eneo la mbuga za wanyama za Mikumi, jimbo ambalo gwiji huyo amepewa dhamana na wananchi kuwa mbunge. HII HAPA ITAZAME ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us