
Wakati watoto wa mwanamuziki Diamond Platnumz wakiwa mabalozi wa maduka ya nguo za watoto, mwanamuziki Linah Sanga anayetarajia kujifungua hivi karibuni amepata ubalozi wa duka la nguo za watoto.
Linah ambaye ni mwanamziki wa nyimbo za kizazi kipya amepata dili hilo la kuwa balozi wa duka la nguo za watoto la Kids City Shopping (KCS), zikiwa zimebaki wiki chache kabla ya kujifungua mtoto wake...