KINGAZI BLOG: 04/22/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Saturday, 22 April 2017

VIDEO: Diamond alivyoizindua Chibu Perfume, na bei yake hii hapa

Msanii kutoka Bongoflevani Naseeb Abdul (Diamond Platnumz) Leo April 21 2017 D ar es Salaam ameizindua rasmi ‘Chibu Perfume’, Perfume ambayo imetengenezewa Dubai na pia Meneja wake Salam ametangaza  jinsi ya kuipata CHIBU PERFUME  na Gharama yake itakayouzwa. ...

Fundi Simu Kizimbani Kwa Kufufua Simu Zilizofungiwa Na Tcra

Fundi simu, Juma Maulid (30) mkazi wa Tabata jijini Dar es Salaam, leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za kuingilia na kuchezea simu zilizofungiwa. Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa imedaiwa na mwendesha mashtaka, Wakili wa Serikali,  Elizabeth Mkunde kuwa, mshtakiwa ametenda kosa hilo Novemba 8, 2016 katika maeneo ya Kariakoo mtaa wa Aggrey wilaya...

Serikali imetangaza Ajira Mpya 52,436

Serikali  inakusudia kuajiri watumishi wapya wa umma 52,436 katika mwaka ujao wa fedha.  Aidha, madaktari wapya 258 waliokuwa waende kufanya kazi nchini Kenya, lakini wakakwama kutokana na kuwekewa pingamizi la kimahakama na wenzao wao huko na hivyo Rais, Dk John Magufuli kuamuru waajiriwe mara moja nchini, wanatarajiwa kuanza kazi keshokutwa Jumatatu. Hayo yalisemwa bungeni juzi usiku...

Atembezwa Nusu UCHI Na Kisha Kulazimishwa Kula Kinyesi kwa Kosa la Kumtukana Mama Yake

Wanawake wa kijiji cha Kisungamile kilichopo katika Kata ya Matai wilayani Kalambo katika mkoa wa Rukwa wamemwadhibu Vitus Nyami (26) kwa kumtembeza nusu uchi na kulazimisha kula kinyesi cha ng’ombe kwa kosa la kumtukana mama yake mzazi matusi ya nguoni. Aidha wanawake hao walitumia mfuko wa ‘salphate’ kufunika sehemu za siri za kijana huyo kisha wakaanza kumtembeza mitaani kijijini  humo huku...

Lowassa Amchapa Mwakyembe..Habari kwenye Magazeti ya Leo 22/4/2017..!!!

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us