
Ofisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, ameomba kujiuzulu nafasi yake na kwamba taarifa hiyo ni ya uzushi na uongo haina ukweli wowote.
Taarifa hiyo ni ya uchochezi inayolenga kuliweka Taifa kwenye taharuki. Mhe. Makamu wa Rais yuko bega kwa bega na Mhe. Rais...