KINGAZI BLOG: 09/21/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday, 21 September 2016

HIKI NDICHO WALICHOKISEMA SAUTISOL KUHUSU WIMBO WA SALOME

Muziki ni hisia na kila mmoja anaamua kufanya kile anchojisikia bila kujali wengine watatafsri vipi, Hiyo ni sawa na alichokifanya Bongoflava icon Diamond Platnumz kwenye hitsong Salome ambayo amemshirikisa mtu mbaya Rayvanny.Ndani ya siku mbili tayari Salome imekua ni ngoma kubwa ambayo inaongelewa kila kona kwa uzuri na ubaya.Kundi la muziki “Sautisol” la nchini Kenya limetumia ukurasa wake wa Instagram kuyaelezea mahaba yao kwenye

ngoma hiyo baada ya kutundika picha ambayo ni moja kati ya Scenes zilizoonekana kwenye Video “Salome” ikiwa na maelezo yaliyosomeka ”

Ni Bora Dunia ingejua kiswahili, maana hii ngoma ni matatizo… #salome @diamondplatnumz x @rayvanny #TraditionalVersion.

Huenda salome ikawa moja kati ya ngoma za kiswahili zenye ushawishi mkubwa siku za mbele na tusishangae kuona au kusikia imefanywa covers nyingi kulio ngoma yeyote ya Bongoflava.


HARMONIZE AND JACQUELINE WOLPER WAZIDI KUKINUKISHA TENA,CHECK MAMBO WALIOANGUSHA TENA LIVE

Going for a safari trip with Bae???usijali Harmonize na Wolper wanaweza kuku inspire on what to wear there .Recently walienda mbuga za wanyama am not sure ipi ila nahisi ni Serengeti and these are the outfits they wore For travelling Jacque wore a white shirt dress with golden sneakers ,for a more stylish look akafunga her plaid shirt ,Harmonize wore black and red sneakers

She also wore a kitenge dress for a stroll around the hote

Sijui hii ni day two or not but Harmonize wore a yellow t shirt,ripped jeans na timberland boots wakati Wolper alivaaa a black dress with a denim shirt na aka match botts na her bae

I love their swag ,the matching boots and everything
CREDIT PHOTOS TO 8020 Fashion

MTOTO AZALIWA WAKATI MAMA YAKE AKIWA MAREHEMU BAADA YA KUPIGWA RISASI

Mwanamke mmoja mjamzito mkazi wa Chicago, Marekani, ameuwawa kwa kupigwa risasi na kufariki hapo hapo lakini mtoto aliyekuwa tumboni hakudhurika.Madaktari jana walimfanyia upasuaji na kufanikiwa kumtoa mtoto huyo wa kike salama na kumpa jina la ‘Miracle’ yaani Miujiza.
Watu wasiofahamika walimpiga risasi msichana huyo Parasha Beard,(19) juzi, usiku eneo la South Chicago akiwa na mpenzi wake.
Parasha alikuwa na ujauzito wa miezi sita wakati anapatwa na mauti hayo, lakini madaktari waliweza kumtoa salama mtoto huyo ambaye kwa sasa amewekwa kwenye kifaa cha kulea watoto njiti(Incubator)

Basi la Super Shem Lapata Ajali na Kuua watu 11 Jijini Mwanza Leo


Basi la Super Shem linalofanya safari za Mwanza kwenda  Mbeya limepata ajari ya kugongana na hiace katika kijiji cha Hungumalwa Mwanza na kusababisha vifo vya watu  wanaodaiwa kufika 11 asubuhi hii.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo, wanaeleza kuwa Basi hilo liliigonga gari hiyo ndogo ambayo iliingia kwenye barabara kubwa bila ya kuwa na tahadhali, Juhudi za kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza zinaendelea kufanyika ili kuthibitisha tukio hilo.



 

Gallery

Popular Posts

About Us