KINGAZI BLOG: 03/01/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday, 1 March 2017

10 Vyakula vya Kuongeza Nguvu za Kiume

Mara nyingi ndoa huvunjika kutokana na tatizo la upunguvu wa nguvu za kiume. Dalili kuu za tatizo hili ni mwanamume kutokuwa na uwezo wa kutoa mbegu bora zilizo na uwezo wa kutungisha mimba. Pia, kutosimama kwa uume wakati wa kujamiiiana ni dalili nyngine ya tatizo hili. Tatizo hili limewaathiri watu wengi kati mabara totafauti ulimwengu mzima. Takwimu zilizopo zinadhihirisha kwamba asilimia sitini...

Mambo 5 mazito yatakayotikisa nchi nzima mwezi huu

Mwezi wa tatu maarufu kama Machi ulioanza leo, umegubikwa na matukio matano ambayo Watanzania kutoka pande zote za nchi wanatarajiwa kuyashuhudia. Tayari Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kilishazungumza takriban mwezi mzima uliopita juu ya kusudio la kutangaza mgogoro na Serikali unaolenga kudai haki ya madai ya wanachama wake. CWT imekuwa ikilalamika kwa muda sasa juu ya madai mbalimbali ya walimu,...

UKIFUATA NJIA HIZI UTAPONA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME Wanaume Wengi Hapa Duniani Huamini Kuwa, Mwanaume Hasa Ni Yule Anayeweza Kufanya Tendo Hilo Kwa Muda Mrefu Na Mara Nyingi Ndio Maana Vijana Wengi Utawasikia Wakijisifu Kuwa, Mpenzi Wake Hakulala Usiku Mzima Kutokana Na Dozi Ya Maana Aliyompa Na Ukimuuliza Mtu Wa Namna Hii Atakwambia Kuwa Alikwenda Mizunguko Sita Usiku Mzima. Hata Hivyo, Ukweli Ni Kuwa, Watu...

Kimenukaa...Wabunge Wamlipua Steve Nyerere,Wakataa Kuombwa Msamaha..!!!

Kusambaa kwa sauti iliyorekodiwa mazungumzo ya mwigizaji Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ na mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu halijafutika, mengine yamefumka kwani baadhi ya wabunge waliotajwa kwenye sauti hiyo wamelimpua Steve. Mbali na wabunge kutajwa katika sauti hiyo iliyosambaa wiki iliyokatika, wasanii pia walitajwa ambao ni Khaleed Mohamed ‘TID’, Romeo George ‘Rommy Jones’...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya March 1

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us