KINGAZI BLOG: 03/07/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Tuesday, 7 March 2017

Gazeti la MwanaHALISI kumuanika Paul Makonda

 SHAPE  \* MERGEFORMAT KILA pembe ya kijiji cha Koromije, Wilaya ya Misungwi, pamoja na viunga vya jiji la Mwanza Paul Makonda, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam anatajwa na kufahamika kama Daudi Albert Bashite, wanaandika Waandishi Wetu. Wanaomtaja kwa jina hilo ni wanakijiji, ndugu zake, wanafunzi aliowahi kusoma nao pamoja...

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu za kiume, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika.

SALAAM SANA WASOMAJI WANGU Inavyoonekana siku hizi japo kweli kuna tatizo la upungufu wa nguvu za kiume haswa kwa mazingira ya mijini, Lakini hili tatizo linaonekana kukuzwa kuliko lilivyo hadi imepelekea woga mkubwa kwa baadhi ya wengi wetu. Ndipo kwenye tafakari yangu nikaona NIANZISHE HUU UZI kwa machache tu kwa ufahamu mchache nilio nao, Ili NIWAALIKE wengi WENU kwa msaada zaidi wa mawazo kwa...
 

Gallery

Popular Posts

About Us