
Taarifa kwa waombaji wote wa nafasi za chuo, bodi ya vyuo vikuu TCU imetoa vigezo vipya vya alama zitakazomuwezesha mwombaji kujiunga na elimu ya chuo kikuu, awali ilikuwa ni GPA ya 3. 5 lakini imepungua hadi kufikia GPA ya 3. 0 ili kuwawezesha watu wengi zaidi kuapply na kupata nafasi ya kujiendeleza.
...