KINGAZI BLOG: 04/16/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Sunday, 16 April 2017

kimenuka!! Majasusi wa Marekani Waanza Kuingia Korea Kaskazini Tayari kwa Vita..Siri Nzito za Silaha za Nyuklia za Korea Zaifichuliwa.

Hii habari ya majasusi wa USA, majasusi hawa wa America wenye Asili ya korea wamejipenyeza ndani ya korea kaskazi kuanzia December mwaka jana  Na kwa taarifa zilizovuja Rais wa korea kaskazin ameamuru kusitisha Visa kwa raia wanaotoka nchi za magharibi kutokuingia North Korea kwa muda usiojulikana  Pia ametoa wito kwa raia wazalendo wa korea kaskazin kutoa taarifa kwa mtu yeyote wanaemshukia...

IGP asema Tunawasaka Watu Wanaofurahia na Kukebehi Mitandaoni Baada ya Askari wetu Kuuwawa.

Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu amesema jeshi hilo linawasaka watu wanaofurahia mitandaoni na kukebehi baada ya askari wake kuuawa. IGP ameyasema hayo wakati Miili ya Askari nane wa Jeshi la Polisi ikiagwa leo Mkoani Pwani. IGP Mangu amesema, tulitumue tukio hili kama changamoto, ili tupeane nguvu badala ya kukatishana tamaa. Kuna watu wameanza kukejeli kwenye mitandao baada ya hili tukio...

KINGAZI BLOG TUNAWATAKIA HERI YA SIKUKUU YA PASAKA WADAU WETU WOTE

Kwa niaba ya Timu nzima ya Kingazi Media ikishirikiana na Killertz blog Tundalako blog Mapenzichoice blog na kingazi blog Tunawatakia wote Heri ya sikukuu ya pasaka wote Tutaendelea kuwapa kila kinachojiri asanteni sana kwa support.Msherehekee kwa Amani. Mwenyezi Mungu awalinde na kuwatunza MBARIKIWE SANA Salaam Kutoka kwa TITO EMMANUEL KINGAZI MKURUGENZI WA KINGAZI MEDIA...

Imefichuka..kumbe Ufisadi Mzito Wagundulika Magari ya Mwendokasi.!! Hebu soma hapa

RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad kwa mwaka wa fedha 2015/16, imefichua udhaifu mkubwa katika mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam. Katika ripoti hiyo iliyowasilishwa bungeni mjini hapa juzi, CAG Assad anasema kuwa katika ukaguzi wake alioufanya kwenye mradi huo, amebaini Wakala wa Usafiri wa Mwendokasi Dar es Salaam (DART) una upungufu...

Zitto Kabwe adai "Kila Wakipanga Kuniteka Wanakuta Mti wa Mrumba au Bwawa la Karosho au Ziwa Tanganyika..!!! "

“Mwaka jana niliambiwa kuwa wabunge tunaowindwa tupo watatu, mwanzoni mwa mkutano huu wakawa saba. Wakati huu wa Bunge la Bajeti nikajulishwa kuwa tumefikia saba. Sasa naona idadi iliyotangazwa na Mheshimiwa Bashe inasema ni wabunge kumi na moja wanaotakiwa kutekwa,” . “Nadhani ni mambo ya kupeana hofu tu. Kwanza, sijafanya lolote la kusababisha nitekwe, kuteswa na kupotezwa. Hivyo habari hizi nazidharau...

Inasikitisha sana!! Kumbe Mmoja kati ya Askari waliouawa aacha mke anayetarajia kujifungua.

I Dar es Salaam/Pwani. Ayoub Mwaikambo, askari aliyeuawa katika shambulio dhidi ya gari la Jeshi la Polisi wilayani Kibiti, ameacha mke ambaye anatarajiwa kujifungua mwezi mmoja ujao. Hayo yamebainika katika hafla ya kuaga miili ya askari nane waliouawa katika shambulio lililotokea Alhamisi jioni, huku kukiwa na taarifa nyingine ya kushambuliwa kwa mapanga kwa mtoto wa mwenyekiti wa Kijiji cha...

Hili ndio gari jipya la Mbwana Samatta

 Mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji leo April 15 2017 amepost tofauti tofauti zikimuonesha akiwa na gari aina ya Mercedes Benz, Samatta ambaye kwa sasa anaishi Ubelgiji kutokana na kufanya kazi na KRC Genk nchini humo amepost picha gari hiyo bila maelezo mengi. Inawezekana ikawa ni gari lake jipya ameamua kuliweka hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram...

Pichaaa..Hebu ona Vannesa alivyotinga Mavazi Haya Yaliyomuacha Uchi Mbele ya Mashabiki Zake...

...

Kiama cha Bashite Chawadia..Rais Magufuli Asema Wote Walioghushi Vyeti Hawatapona..Habari Vichwa vya Magazeti ya Leo 16/4/2017..!!!

...
 

Gallery

Popular Posts

About Us