KINGAZI BLOG: 10/05/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday, 5 October 2016

HIVI HAPA VYUO VILIVYOTOA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA SECOND ROUND VYUO VIKUU MBALIMBALI 2016/2017

Habari yako,HII HAPA list ya vyuo vikuu ambavyo vimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa na joining instructions za  kujiunga na vyuo vikuu 2016/2017-SECOND ROUND CHUO CHA JORDAN (SECOND ROUND)            >>BONYEZA HAPA<< CHUO CHA AMUCTA(SECOND ROUND)            >>BONYEZA...

Viwango vya nauli za ndege vyatangazwa

Baada ya kumalizika kwa ofa iliyokuwa imetangazwa na shirika la ndege Tanzania (ATCL), Nauli halisi zitakuwa kama ifuatavyo;- Dar es Salaam – Mwanza kwenda ni shilingi 160,000 hivyo kwenda na kurudi ni shilingi 320,000. Dar es Salaam – Kigoma kwenda ni shilingi 395,000 hivyo kwenda na kurudi ni shilingi 610,000. Dar es Salaam – Arusha kwenda ni shilingi 180,000 hivyo kwenda na kurudi 360,000. Arusha...

Baada ya Dogo Janja kutangaza kuoa, Madee afunguka haya

Dogo Janja ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Kidebe’ amefunguka na kutangaza rasmi kuwa ana mpango wa kutaka kuoa na kusema kwamba muda si mrefu anaweza kuvuta jiko na kuweka ndani. Dogo Janja alisema haya kupitia kipindi cha Planet Bongo ambacho kilikuwa kinarushwa moja kwa moja kutokea Manzese na kusema kuwa suala hilo lipo kwenye mchakato ila ni kweli ana mpango wa kuoa muda si...

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHITUKIZIA UWANJA WA NDEGE TIZAMA ALIYOGUNDUA LEO LIVE!!

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mhe. Joseph Kabila Kabange leo tarehe 05 Oktoba, 2016 amemaliza ziara yake ya kiserikali ya siku tatu hapa nchini na kurejea nchini kwake. Katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Rais Kabila ameagwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Viongozi wengine walioungana na Rais Magufuli...
 

Gallery

Popular Posts

About Us