KINGAZI BLOG: 10/17/16

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Monday, 17 October 2016

Ofisi ya Republican yarushiwa bomu Marekani

Image captionAfisi ya chama cha Republican iliopigwa bomu katika kaunti ya Orange nchini Marekani Afisi moja ya chama cha Republican katika jimbo la North Carolina imeharibiwa na moto huku jengo lililo karibu yake likipakwa rangi ya nembo inayopinga chama cha Republican,mamlaka imesema. Chupa iliojazwa mafuta yanayoweza kushika moto ilirushwa katika dirisha la makao makuu ya chama cha Republican...

Mzee Yussuf-Kaning'anga'nia{Official Video}

...

MPYA:TANGAZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WA VYUO VIKUU TANZANIA

SOMA TANGAZO MUHIMU KUTOKA TCU. ...

New AUDIO | RAYVAN & NEY LEE - RUDI | Download

 DOWNLOAD ...

Ukikutwa na Samsung Galaxy Note 7 unapigwa faini

Abiria wa ndege wazuiwa kubeba simu za Samsung Galaxy Note 7 wakati wa safari nchini Canada Idara ya usafiri nchini Canada imetangaza kupiga marufuku ubebaji wa simu za Samsung Galaxy Note 7 kwa abiria wakati wa safari. Idara hiyo ilitoa maelezo na kutangaza kuchukuwa hatua hiyo kutokana na kesi za ulipukaji wa betri za Galaxy Note 7 zilizoripotiwa kwa kampuni ya Samsung hivi karibuni. Maelezo zaidi...

Mapya yaibuka kipigo cha mwanafunzi Mbeya

WAKATI jamii ikiendelea kulaani kupigwa kikatili mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Kutwa ya Mbeya, Sebastian Chinguku, mwezi uliopita, imeelezwa kuwa wanafunzi wengi wamekosa nidhamu na wamejengewa kiburi na wazazi na walezi wao kudharau na kudhani wako juu ya walimu. Walimu wamesema pamoja na kwamba kitendo alichofanyiwa mwanafunzi Chinguku ni cha kikatili na kisichokubalika, lakini wengi...

Trump: Kura zinaibiwa vituoni Marekani

 Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amedai uchaguzi nchini humo "unaibiwa" na vyombo vya habari pamoja na "kwenye vituo vya kupigia kura" kumzuia kushinda. Matamshi hayo yanaonekana kukinzana na ya mgombea mwenza wake Mike Pence, ambaye awali aliambia kituo cha runinga cha NBC kwa Bw Trump bila shaka atakubali matokeo ya uchaguzi, licha ya "kuonewa" na vyombo...

Magazeti ya Leo Jumatatu ya Octoba 17

...

MPYA:TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT LEO TAREHE 17.10.2016

                                                                      ...
 

Gallery

Popular Posts

About Us