KINGAZI BLOG: 05/24/17

HABARI KARIBU YAKO ZAIDI.

Breaking News
Loading...

Wednesday, 24 May 2017

MPYA :TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA KUJENGA TAIFA

 


Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2017, kutoka Shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria.
 Sanjari na Uchanguzi huo, JKT limewapangia Makambi watakayokwenda kupatiwa mafunzo kwa muda wa miezi mitatu na wanatakiwa kuripoti Makambini kuanzia tarehe 25 – 30 Mei 2017.
 Vijana waliochanguliwa, wamepangiwa katika kambi za JKT Rwamkoma – Mara, JKT Msange – Tabora, JKT Ruvu – Pwani, JKT Makutopora – Dodoma, JKT Mafinga – Iringa, JKT Mlale – Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba – Tanga, JKT Makuyuni – Arusha, JKT Bulombora, JKT Kanembwa na JKT Mtabila – Kigoma.
 Aidha, wahitimu wenye ulemavu wa kuonekana kwa macho (physical disabilities) wanatakiwa kuripoti kambi ya JKT Ruvu iliyopo Mlandizi mkoani Pwani ambayo ina miundombinu ya kuhudumia watu wa jamii hiyo.

JKT linawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo:
  1. Bukta ya rangi ya ‘Dark blue’ yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.
  1. Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
  1. Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari
  1. Soksi ndefu za rangi nyeusi.
  1. Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoa yenye baridi.
  1. Track suit ya rangi ya kijani au blue.
  1. Nauli ya kwenda makambini na kurudi majumbani.
Mkuu wa JKT anawakaribisha Vijana wote waliochaguliwa ili waweze kujiunga na Vijana wenzao katika kujifunza Uzalendo, Umoja wa Kitaifa, Stadi za kazi, Stadi za maisha na Utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa letu.


Imetolewa na:
Kurugenzi ya Habari na Uhusiano,
Makao Makuu ya JKT,
Tarehe 22 Mei 2017




 BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YOTE

TAARIFA; IDADI YA WANAFUNZI WATAKAOJIUNGA NA JKT (MUJIBU WA SHERIA) 2017 KUPUNGUA KWA ASILIMIA 52%

 




Number of Form Six leavers joining National Service drops by 52 per cent


Dar es Salaam. The number of Form Six leavers joining the National Services, has dropped from 31,900 in 2014 to 14,747 in 2015, the Parliament was told on Tuesday.

This represents 52 per cent decline. The Minister for Defence and National Service, Dr Hussein Mwinyi, told the Parliament that 31,900 students out of 41,968 who completed their advanced level education in 2014 joined the national service compared to 14,747 students, who completed their advanced level education joined the national service.

Dr Mwinyi was responding to a question from the Newala Member of Parliament, Mr George Mkuchika, who sought to know the number of youths, who joined National Service in a period between 2013 and 2016.

According to Dr Mwinyi, the decline in the number is attributed to a number of challenges including lack of funds.

He added that the government was working on addressing the challenges to make sure that all Form Six leavers joined the national service.

Source; The citizen

BREAKING NEWS !!!!!HII HAPA ORODHA YA MAJINA YA WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WANAOJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU 2017






PUBLIC NOTICE: THE LIST OF SELECTED FORM SIX STUDENTS TO JOIN JKT 2017



The number of Form Six leavers joining the National Services, has dropped from 31,900 in 2014 to 14,747 in 2015, the Parliament was told on Tuesday.


This represents 52 per cent decline. The Minister for Defence and National Service, Dr Hussein Mwinyi, told the Parliament that 31,900 students out of 41,968 who completed their advanced level education in 2014 joined the national service compared to 14,747 students, who completed their advanced level education joined the national service.

The list of Form Six leavers joining the National Services is now avaialble on JKT website, Kindly click on the link below to view the full list of the selected students
BONYEZA HAPA KUONA MAJINA YOTE
UKIHITAJI KUANGALIZIWA JINA LAKO NA KAMBI ULIOPELEKWA KWA HARAKA NA URAHISI ZAIDI WASILIANA NASI 
KWA NAMBA 
0621121561/ 0755542721 

GHARAMA KWA SH 1000/=
UTAJIBIWA NDANI YA DAKIKA MOJA.KUEPUSHA USUMBUFU 

SHARE HABARI HII KWA WENGINE
 
TUMA JINA LAKO KAMILI  NA SHULE 
ULIOSOMA 
 

Gallery

Popular Posts

About Us