Baada ya Rais Magufuli kusema majina ya watumishi walioghushi vyeti yaanikwe; sasa yamewekwa hadharani.Orodha ni hii hapaAttached Files: a" style="background: url("https://www.jamiiforums.com/styles/jamiiforum/xenforo/gradients/category-23px-light.png") center top repeat-x rgb(255, 244, 229); border-radius: 5px; margin: 0px; overflow: hidden; padding: 10px 10px 0px; zoom: 1;">346750347-Public-Service-Taasisi-1.pdfFile...
Sunday, 30 April 2017
MAJINA YA WALIONA VYETI FEKI TANZANIA NZIMA HAYA HAPA NA WILAYA WANAZO TOKA.
Published Under
HOME NEWS
SHARE!
Ma'admin' wa makundi Whatsapp kukiona cha moto India
Published Under
KIMATAIFA

Kuwa msimamizi wa kundi katika whatsApp (WhatsApp Group Chat Admins) kwa wengi sio kitu kikubwa sana. Kimsingi ni kuwezesha kuongeza wanachama katika Kundi au kumuondoa yeyote katika kundi husika.
Hata hivyo nchini India ni zaidi ya hivyo, kuwa msimamizi wa kundi huko ni jambo linalomtaka msimamizi kuwa makini zaidi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Economic Times serikali ya India na mahakama inataka kuwafanya...
SHARE!
NAMKUBALI DIAMOND KULIKO ALIKIBA -AMBER LULU
Published Under
TOP STORIES
#AmberLulu kupita ukurasa wake Instagram alikuwa mubashara ameweza kuonesha ushabiki wake hadharani na mapenzi yake kwa #DiamondPlatnumz.
Akiwa mubashara kupitia kwenye akaunti yake ya Instagram amesema kuwa ajaona Msanii yoyote ambaye anaweza kumlinganisha na #Diamond kwani ni msanii mkubwa Afrika hata #AliKiba bado ajafika level za #DiamondPlatnumz
#Amberlulu👉“Diamond ni msanii mkubwa sana Afrika...
SHARE!
Pichaaz!! Anthony Joshua Amtwanga Wladimir Klitschko kwa TKO
Published Under
KITAIFA

Anthony Joshua ameonyesha kuwa yeye ndiye mfalme mpya wa ngumi za kulipwa kwa uzito wa juu baada ya kumshinda mkongwe Wladimir Klitschko kwa TKO katika raundi ya 11.
Pambano hilo la raundi 12 kwenye Uwanja wa Wembley jijini London, England lilikuwa kali na la kuvutia.
...
SHARE!
Inakuhusu hii..Upimaji wa Ukimwi wa Nyumba Hadi Nyumba Unaanza Rasmi Kesho..Jiandae Kikamilifu!!
Published Under
KITAIFA

UTAFITI wa viashiria na matokeo ya Ukimwi wa mwaka 2016 ambao unahusisha upimaji wa ugonjwa huo kaya kwa kaya kwa Mkoa wa Dar es Salaam, utaanza kufanyika Mei mwaka huu, ambapo jumla ya kata 31 kutoka wilaya tatu za mkoa huo ndizo zitakazoshiriki.
Utafiti huo pia utahusisha ukusanyaji wa taarifa zisizohusu maambukizi mapya ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), kiwango cha VVU mwilini na kwa watu wanaoishi...
SHARE!
Subscribe to:
Posts (Atom)