Sunday, 6 November 2016
HEBU JIIONEE VIDEO HII!!!!! BINADAMU ALIYEFUFUKA KUTOKA CHUMBA CHA MAITI "NDUGU ZAKE WAMEYASEMA HAYA"
Zlatan atupia 2, Pogba atupia 1, Man United Yaibamiza Swansea 3-1, Picha 8 ziko hapa
MAAAJABU!!! KUTANA NA HUYU MWANAMKE ALIYEAMUA KUKAA KWENYE JENEZA SIKU NZIMNA ILI APATE UZOEFU WA KIFO.
Vera aliamua kukaa kwenye jeneza huku familia yake ikifanya vitu vinayofanywa kwenye msiba ili aone inakuaje ambapo baada ya kutoka humo alisema ilikua siku nzuri zaidi kwenye maisha yake yote.
Sherehe hiyo ya kujifunza maisha ya kwenye Jeneza ambayo ilifanyika Jumatano ya November 2 2016 ni sherehe ambayo ilifanyika kwenye eneo la makaburi.
HEBU ONA JINSI MOTO ULIVYOTEKETEZA GARI HILI JIJINI DAR
Gari aina ya Nissan x-trial ambalo namba zake za usajiri hazikuonekana kwa haraka likiwa limeanza kushika moto upambe wa mbele na kupelekea kuteketea gari lote. tukio hilo limetokea jioni hii kando ya barabara ya Nyerere na usoni kabisa mwa jengo la Wizara ya Maliasili na Utalii, Jijini Dar es salaam, huku baadhi ya wasamalia wakijaribu kuokoa sehemu ya vitu vilivyokuwemo ndani ya gari hilo. hakuna alepoteza maisha wala kujerugiwa katika ajali hii. Chanzo cha moto huo hakikuweza kufahamika. Picha na Zainab Nyamka.
Moto ukiendelea kuwaka kwa kasi.
Harakati ya kuokoa baadhi ya mali ziliyokuwepo ndani ya gari hilo zikiendelea.
Baada ya muda moto ukaenea sehemu kubwa ya gari hilo, hali iliyopelekea waokoaji kushindwa kuendelea na zoezi hilo.
Moto ukiiteketeza gari hiyo.
PICHAZ JINSI SHOW YA FIESTA 2016 ILIVYOTIKISA DAR JANA
Usiku wa November 5, 2016 ni zamu ya Dar es Salaam ambapo mashabaki wa muziki wamekutana katika viwanja vya Leaders Club kushuhuhudia tamasha la FIESTA 2016 huku burudani zikiendelea kutoka kwenye list ndefu ya wasanii mbalimbali akiwemo,Barnaba, Raymond, Shilole, Jux, Vanessa Mdee, Christian Bella na wengineo
Shangwe hizo za Burudani zinaendelea muda huu huko katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam, zitazame hizi baadhi ya picha mtu wangu
.Gigi Money akitoa burudani ya nguvu
.Dogo Janja na Raymond wa WCB wakiwa Backstage
.Baraka The Prince akiwa Backstage
.Wasanii mbalimbali wakiwa backstage muda huu
.Barnaba akiwa kwenye stage
.Vanessa Mdee akiwa kwenye Stage akitoa burudani ya nguvu
.Nandy akitoa burudani ya nguvu
.Raymond wa WCB akiwa kwenye stage kuhakikisha mashabiki wanapata burudani ya nguvu
.Roma Mkatoliki